Jeremiah 32:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uliwapa nchi hii ambayo uliahidi kuwapa wazee wao, nchi inayotiririka maziwa na asali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliwapa nchi hii uliyokuwa umeapa kuwapa baba zao, nchi inayotiririka maziwa na asali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukawapa nchi hii, uliyowaapia baba zao kwamba utawapa, nchi iliyojaa maziwa na asali;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uliwapa nchi hii ambayo uliahidi kuwapa wazee wao, nchi inayotiririka maziwa na asali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliwapa nchi hii uliyokuwa umeapa kuwapa baba zao, nchi ijaayo maziwa na asali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliwapa nchi hii uliyokuwa umeapa kuwapa baba zao, nchi inayotiririka maziwa na asali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukawapa nchi hii, uliyowaapia baba zao kwamba utawapa, nchi itiririkayo maziwa na asali;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uliwapa nchi hii ambayo uliahidi kuwapa wazee wao, nchi inayotiririka maziwa na asali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukawapa nchi hii, uliyowaapia baba zao kuwapa, ni nchi ichuruzikayo asali na maziwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukawapa nchi hii, uliyowaapia baba zao kwamba utawapa, nchi iliyojaa maziwa na asali;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uliwapa inchi hii ambayo uliahidi kuwapa babu zao, inchi inayotiririka maziwa na asali.