Jeremiah 32:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao walifika, wakaitwa na kuimiliki. Lakini wao hawakukusikiliza, wala hawakufuata sheria zako. Hawakutenda mambo uliyoamuru. Ndiyo maana utawafanya wapatwe na balaa hii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliingia na kuimiliki, lakini hawakukutii wala kuifuata sheria yako. Hawakufanya kile ulichowaamuru kufanya. Hivyo ukaleta maafa haya yote juu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wakaingia, wakaimiliki; lakini hawakuitii sauti yako, wala hawakuenda katika sheria yako; hawakutenda neno lo lote katika haya uliyowaagiza wayatende; basi, kwa sababu hii umeleta juu yao mabaya haya yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao walifika, wakaitwa na kuimiliki. Lakini wao hawakukusikiliza, wala hawakufuata sheria zako. Hawakutenda mambo uliyoamuru. Ndiyo maana utawafanya wapatwe na balaa hii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaingia na kuimiliki, lakini hawakukutii wala kuifuata sheria yako, hawakufanya kile ulichowaamuru kufanya. Hivyo ukaleta maafa haya yote juu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliingia na kuimiliki, lakini hawakukutii wala kuifuata sheria yako. Hawakufanya kile ulichowaamuru kufanya. Hivyo ukaleta maafa haya yote juu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wakaingia, wakaimiliki; lakini hawakuitii sauti yako, wala hawakwenda katika sheria yako; hawakutenda neno lolote katika haya uliyowaagiza wayatende; basi, kwa sababu hii umeleta juu yao mabaya haya yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao walifika, wakaitwa na kuimiliki. Lakini wao hawakukusikiliza, wala hawakufuata sheria zako. Hawakutenda mambo uliyoamuru. Ndiyo maana utawafanya wapatwe na balaa hii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaja, wakaitwaa, kisha hawakuisikia sauti yako, wala hawakuyafuata Maonyo yako, wala hawakuyafanya yote, uliyowaagiza, wayafanye; kwa hiyo umewaletea haya mabaya yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wakaingia, wakaimiliki; lakini hawakuitii sauti yako, wala hawakuenda katika sheria yako; hawakutenda neno lo lote katika haya uliyowaagiza wayatende; basi, kwa sababu hii umeleta juu yao mabaya haya yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walifika, wakaitwaa na kuirizi. Lakini wao hawakukusikiliza, wala hawakufuata sheria zako. Hawakutenda mambo uliyoamuru. Ndiyo maana utawafanya wapatwe na hasara hii.