Jeremiah 32:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tazama, mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa watu wote. Hakuna lolote linaloweza kunishinda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wa wote wenye mwili. Je, kuna jambo lolote lililo gumu nisiloliweza?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, mimi ni Bwana, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tazama, mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa watu wote. Hakuna lolote linaloweza kunishinda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mimi ndimi BWANA, Mungu wa wote wenye mwili, Je, kuna jambo lo lote lililo gumu nisiloliweza?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mimi ndimi bwana, Mungu wa wote wenye mwili. Je, kuna jambo lolote lililo gumu nisiloliweza?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lolote nisiloliweza?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tazama, mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa watu wote. Hakuna lolote linaloweza kunishinda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Mimi ni Bwana, Mungu wao wote walio wenye miili. Je? Liko lo lote lisilowezekana kwangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ni Yawe, Mungu wa watu wote. Hakuna lolote linaloweza kunishinda.