Jeremiah 32:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Ninautoa mji huu kwa Wakaldayo na kwa Nebukadneza mfalme wa Babuloni, naye atauteka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Ninakaribia kuutia mji huu mikononi mwa Wakaldayo, na mwa Nebukadneza mfalme wa Babeli ambaye atauteka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Bwana asema hivi, Tazama, nitautia mji huu katika mikono ya Wakaldayo, na katika mikono ya Nebukadreza, mfalme wa Babeli, naye atautwaa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Ninautoa mji huu kwa Wakaldayo na kwa Nebukadneza mfalme wa Babuloni, naye atauteka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, hili ndilo asemalo BWANA: Ninakaribia kuutia mji huu mikononi mwa Wakaldayo na mwa Nebukadneza mfalme wa Babeli ambaye atauteka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, hili ndilo asemalo bwana: Ninakaribia kuutia mji huu mikononi mwa Wakaldayo, na mwa Nebukadneza mfalme wa Babeli ambaye atauteka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, BWANA asema hivi, Tazama, nitautia mji huu katika mikono ya Wakaldayo, na katika mikono ya Nebukadneza, mfalme wa Babeli, naye atautwaa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Ninautoa mji huu kwa Wakaldayo na kwa Nebukadneza mfalme wa Babuloni, naye atauteka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Bwana anasema hivi: Mtaniona kweli, nikiutia mji huu mikononi mwao Wakasidi namo mkononi mwake Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, auteke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, BWANA asema hivi, Tazama, nitautia mji huu katika mikono ya Wakaldayo, na katika mikono ya Nebukadreza, mfalme wa Babeli, naye atautwaa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Kwa hiyo, ninautoa muji huu kwa Wakaldea na kwa Nebukadneza mufalme wa Babeli, naye atauteka.