Jeremiah 32:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji huu umechochea hasira yangu na kuniudhi tangu siku ulipojengwa mpaka leo hii. Kwa hiyo, nitautoa kabisa mbele yangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tangu siku ulipojengwa hadi sasa, mji huu umenikasirisha na kunighadhibisha kiasi kwamba ni lazima niuondoe machoni pangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa mji huu umekuwa sababu ya kunitia hasira, na sababu ya ghadhabu yangu, tangu siku ile walipoujenga hata siku hii ya leo; ili niuondoe usiwe mbele za uso wangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji huu umechochea hasira yangu na kuniudhi tangu siku ulipojengwa mpaka leo hii. Kwa hiyo, nitautoa kabisa mbele yangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangu siku ulipojengwa hadi sasa, mji huu umenikasirisha na kunighadhibisha kiasi kwamba ni lazima niuondoe machoni pangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangu siku ulipojengwa hadi sasa, mji huu umenikasirisha na kunighadhibisha kiasi kwamba ni lazima niuondoe machoni pangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa mji huu umekuwa sababu ya kunitia hasira, na sababu ya ghadhabu yangu, tangu siku ile walipoujenga hata siku hii ya leo; ili niuondoe usiwe mbele za uso wangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji huu umechochea hasira yangu na kuniudhi tangu siku ulipojengwa mpaka leo hii. Kwa hiyo, nitautoa kabisa mbele yangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mji huu umenichafua na kuuwakisha moto wa makali yangu kuanzia siku ile, walipoujenga mpaka siku hii ya leo; kwa hiyo ninauondoa usoni pangu
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa mji huu umekuwa sababu ya kunitia hasira, na sababu ya ghadhabu yangu, tangu siku ile walipoujenga hata siku hii ya leo; ili niuondoe usiwe mbele za uso wangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji huu umechochea hasira yangu na kuniuzi tangu siku ulipojengwa mpaka leo hii. Kwa hiyo, nitauondoa kabisa mbele yangu,