Jeremiah 32:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao walinipa kisogo badala ya kunigeuzia nyuso zao; ingawa nimewafundisha tena na tena, wao hawakusikiliza na kuyapokea mafundisho yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walinigeuzia visogo vyao, wala si nyuso zao. Ingawa niliwafundisha tena na tena, hawakupenda kusikiliza wala kuitikia adhabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena wamenigeuzia visogo vyao, wala si nyuso zao; ingawa naliwafundisha, niliondoka mapema na kuwafundisha, lakini hawakusikiliza ili wapate mafundisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao walinipa kisogo badala ya kunigeuzia nyuso zao; ingawa nimewafundisha tena na tena, wao hawakusikiliza na kuyapokea mafundisho yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walinigeuzia visogo vyao, wala si nyuso zao, ingawa niliwafundisha tena na tena, hawakupenda kusikiliza wala kuitikia marudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walinigeuzia visogo vyao, wala si nyuso zao. Ingawa niliwafundisha tena na tena, hawakupenda kusikiliza wala kuitikia adhabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena wamenigeuzia visogo vyao, wala si nyuso zao; ingawa niliwafundisha, niliondoka mapema na kuwafundisha, lakini hawakusikiliza ili wapate mafundisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao walinipa kisogo badala ya kunigeuzia nyuso zao; ingawa nimewafundisha tena na tena, wao hawakusikiliza na kuyapokea mafundisho yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakanigeuzia kosi zao, sizo nyuso; nami naliwafundisha pasipo kuchoka kila kulipokucha, lakini hawakuwako waliosikia, waonyeke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena wamenigeuzia visogo vyao, wala si nyuso zao; ingawa naliwafundisha, niliondoka mapema na kuwafundisha, lakini hawakusikiliza ili wapate mafundisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao walinigeuzia mugongo pahali pa kunigeuzia nyuso zao; ingawa nimewafundisha tena na tena, wao hawakusikiliza na kuyapokea mafundisho yangu.