Jeremiah 32:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliweka sanamu za miungu yao ya kuchukiza katika nyumba hii inayojulikana kwa jina langu, wakaitia unajisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliweka miungu yao ya kuchukiza sana katika nyumba iitwayo kwa Jina langu na kuinajisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali waliweka machukizo yao ndani ya nyumba iliyoitwa kwa jina langu, ili kuinajisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliweka sanamu za miungu yao ya kuchukiza katika nyumba hii inayojulikana kwa jina langu, wakaitia unajisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliweka miungu yao ya kuchukiza sana katika nyumba iitwayo kwa Jina langu na kuinajisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliweka miungu yao ya kuchukiza sana katika nyumba iitwayo kwa Jina langu na kuinajisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali waliweka machukizo yao ndani ya nyumba iliyoitwa kwa jina langu, ili kuinajisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliweka sanamu za miungu yao ya kuchukiza katika nyumba hii inayojulikana kwa jina langu, wakaitia unajisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakayaweka matapisho yao katika ile Nyumba iliyoitwa kwa Jina langu, waitie uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali waliweka machukizo yao ndani ya nyumba iliyoitwa kwa jina langu, ili kuinajisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliweka sanamu za miungu yao ya kuchukiza katika nyumba hii inayojulikana kwa jina langu, wakaichafua.