Jeremiah 32:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa basi, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: “Yeremia, watu hawa wanasema kwamba, kwa vita, njaa na maradhi, mji huu utatiwa mikononi mwa mfalme wa Babuloni. Lakini nasema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mnasema kuhusu mji huu, ‘Kwa upanga, njaa na tauni, mji utatiwa mkononi mwa mfalme wa Babeli,’ lakini hili ndilo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, asemalo:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, katika habari za mji huu, ambao ninyi mnasema juu yake maneno haya, Umetiwa katika mikono ya mfalme wa Babeli, kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa basi, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: “Yeremia, watu hawa wanasema kwamba, kwa vita, njaa na maradhi, mji huu utatiwa mikononi mwa mfalme wa Babuloni. Lakini nasema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mnasema kuhusu mji huu, ‘Kwa upanga, njaa na tauni mji utatiwa mkononi mwa mfalme wa Babeli,’ lakini hili ndilo BWANA, Mungu wa Israeli asemalo:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mnasema kuhusu mji huu, ‘Kwa upanga, njaa na tauni, mji utatiwa mkononi mwa mfalme wa Babeli,’ lakini hili ndilo bwana, Mungu wa Israeli asemalo:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, kuhusu habari za mji huu, ambao ninyi mnasema juu yake maneno haya, Umetiwa katika mikono ya mfalme wa Babeli, kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa basi, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: “Yeremia, watu hawa wanasema kwamba, kwa vita, njaa na maradhi, mji huu utatiwa mikononi mwa mfalme wa Babuloni. Lakini nasema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli hivi ndivyo, Bwana Mungu wa Isiraeli anavyosema sasa kwa ajili ya mji huu, ambao mnasema, ya kuwa umetiwa mkononi mwa mfalme wa Babeli kwa nguvu za panga na za njaa na za magonjwa mabaya:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, katika habari za mji huu, ambao ninyi mnasema juu yake maneno haya, Umetiwa katika mikono ya mfalme wa Babeli, kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa basi, Yawe, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Yeremia, watu hawa wanasema kwamba, kwa vita, njaa na magonjwa, muji huu utatiwa katika mikono ya mufalme wa Babeli. Lakini ninasema: