Jeremiah 32:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sedekia, mfalme wa Yuda, hataepa kutiwa mikononi mwa Wakaldayo; hakika atatekwa na mfalme wa Babuloni, ataonana naye uso kwa uso na kuongea naye ana kwa ana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sedekia mfalme wa Yuda hataweza kuponyoka mikononi mwa Wakaldayo, lakini kwa hakika atatiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli, naye atazungumza naye ana kwa ana na kumwona kwa macho yake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena, Sedekia, mfalme wa Yuda, hatapona kutoka katika mikono ya Wakaldayo, lakini hakika yake atatiwa katika mikono ya mfalme wa Babeli, atanena naye mdomo kwa mdomo, na macho yake yatatazama macho yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sedekia, mfalme wa Yuda, hataepa kutiwa mikononi mwa Wakaldayo; hakika atatekwa na mfalme wa Babuloni, ataonana naye uso kwa uso na kuongea naye ana kwa ana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sedekia mfalme wa Yuda hataweza kuponyoka mikononi mwa Wakaldayo lakini kwa hakika atatiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli, naye atazungumza naye ana kwa ana na kumwona kwa macho yake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sedekia mfalme wa Yuda hataweza kuponyoka mikononi mwa Wakaldayo, lakini kwa hakika atatiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli, naye atazungumza naye ana kwa ana na kumwona kwa macho yake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena, Sedekia, mfalme wa Yuda, hatapona kutoka katika mikono ya Wakaldayo, lakini hakika yake atatiwa katika mikono ya mfalme wa Babeli, atanena naye ana kwa ana, na watatazamana macho kwa macho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sedekia, mfalme wa Yuda, hataepa kutiwa mikononi mwa Wakaldayo; hakika atatekwa na mfalme wa Babuloni, ataonana naye uso kwa uso na kuongea naye ana kwa ana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Sedekia, mfalme wa Yuda, hatapona mikononi mwa Wakasidi, kwani atatiwa mkononi mwa mfalme wa Babeli, watasemeana kinywa kwa kinywa wakionana macho kwa macho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena, Sedekia, mfalme wa Yuda, hatapona kutoka katika mikono ya Wakaldayo, lakini hakika yake atatiwa katika mikono ya mfalme wa Babeli, atanena naye mdomo kwa mdomo, na macho yake yatatazama macho yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zedekia, mufalme wa Yuda, hataepuka kutiwa katika mikono ya Wakaldea; hakika atatekwa na mufalme wa Babeli, ataonana naye uso kwa uso na kuongea naye kinywa kwa kinywa.