Jeremiah 32:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitafanya nao agano la milele, kwamba sitaacha kamwe kuwatendea mema; nitaweka mioyoni mwao uchaji wangu ili wasiniache tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitafanya nao agano la milele: Kamwe sitaacha kuwatendea mema, nami nitawavuvia kunicha mimi, ili wasinigeuke.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitafanya agano la milele pamoja nao, kwamba sitageuka wala kuwaacha, ili niwatendee mema; nami nitatia kicho changu mioyoni mwao, ili wasiniache.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitafanya nao agano la milele, kwamba sitaacha kamwe kuwatendea mema; nitaweka mioyoni mwao uchaji wangu ili wasiniache tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitafanya nao Agano la milele: Kamwe sitaacha kuwatendea mema, nami nitawavuvia kunicha mimi, ili kwamba kamwe wasigeukie mbali nami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitafanya nao agano la milele: Kamwe sitaacha kuwatendea mema, nami nitawavuvia kunicha mimi, ili kamwe wasigeukie mbali nami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitafanya agano la milele pamoja nao, kwamba sitageuka wala kuwaacha, ili niwatendee mema; nami nitatia kicho changu mioyoni mwao, ili wasiniache.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitafanya nao agano la milele, kwamba sitaacha kamwe kuwatendea mema; nitaweka mioyoni mwao uchaji wangu ili wasiniache tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitafanya nao agano la kale na kale, ya kuwa sitaacha kuwafuata na kuwafanyizia mema, namo mioyoni mwao nitatia woga wa kuniogopa, wasiondoke tena kwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitafanya agano la milele pamoja nao, kwamba sitageuka wala kuwaacha, ili niwatendee mema; nami nitatia kicho changu mioyoni mwao, ili wasiniache.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitafanya nao agano la milele, kwamba sitaacha kuwatendea mema hata kidogo; nitaweka ndani ya mioyo yao utii kwa ajili yangu kusudi wasiniache tena.