Jeremiah 32:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitafurahi kuwatendea mema; nitawasimika daima katika nchi hii na kuwatendea kwa uaminifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitafurahia kuwatendea mema, na kwa hakika nitawapanda katika nchi hii kwa moyo wangu wote na roho yangu yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, nitafurahi juu yao niwatendee mema, nami nitawapanda katika nchi hii kweli kweli, kwa moyo wangu wote, na kwa roho yangu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitafurahi kuwatendea mema; nitawasimika daima katika nchi hii na kuwatendea kwa uaminifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitafurahia kuwatendea mema na kwa hakika nitawapanda katika nchi hii kwa moyo wangu wote na roho yangu yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitafurahia kuwatendea mema, na kwa hakika nitawapanda katika nchi hii kwa moyo wangu wote na roho yangu yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, nitafurahi juu yao niwatendee mema, nami nitawapanda katika nchi hii kweli kweli, kwa moyo wangu wote, na kwa roho yangu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitafurahi kuwatendea mema; nitawasimika daima katika nchi hii na kuwatendea kwa uaminifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitawafurahia, niwafanyizie mema, kweli nitawapanda katika nchi hii kwa moyo wangu wote na kwa roho yangu yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, nitafurahi juu yao niwatendee mema, nami nitawapanda katika nchi hii kweli kweli, kwa moyo wangu wote, na kwa roho yangu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitafurahi kuwatendea mema; nitawasimika siku zote katika inchi hii na kuwatendea kwa uaminifu.