Jeremiah 32:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mashamba yatanunuliwa katika nchi hii ambayo unasema imekuwa ukiwa bila watu wala wanyama, na kwamba imetolewa kwa Wakaldayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mara nyingine tena mashamba yatanunuliwa katika nchi hii ambayo mlisema, ‘Imekuwa ukiwa, isiyo na watu wala wanyama, kwa sababu imetiwa mikononi mwa Wakaldayo.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mashamba yatanunuliwa katika nchi hii, mnayoitaja, mkisema, Ni ukiwa, haina mwanadamu wala mnyama; imetiwa katika mikono ya Wakaldayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mashamba yatanunuliwa katika nchi hii ambayo unasema imekuwa ukiwa bila watu wala wanyama, na kwamba imetolewa kwa Wakaldayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa mara nyingine tena mashamba yatanunuliwa katika nchi hii ambayo mlisema, ‘Imekuwa ukiwa, isiyofaa, isiyo na watu wala wanyama, kwa sababu imetiwa mikononi mwa Wakaldayo.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mara nyingine tena mashamba yatanunuliwa katika nchi hii ambayo mlisema, ‘Imekuwa ukiwa, isiyofaa, isiyo na watu wala wanyama, kwa sababu imetiwa mikononi mwa Wakaldayo.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mashamba yatanunuliwa katika nchi hii, mnayoitaja, mkisema, Ni ukiwa, haina mwanadamu wala mnyama; imetiwa katika mikono ya Wakaldayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mashamba yatanunuliwa katika nchi hii ambayo unasema imekuwa ukiwa bila watu wala wanyama, na kwamba imetolewa kwa Wakaldayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mashamba yatanunuliwa tena katika nchi hii, mnayoisema ninyi, ya kuwa ni nyika tu pasipo watu na nyama kwa kutiwa mikononi mwa Wakasidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mashamba yatanunuliwa katika nchi hii, mnayoitaja, mkisema, Ni ukiwa, haina mwanadamu wala mnyama; imetiwa katika mikono ya Wakaldayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mashamba yatanunuliwa katika inchi hii ambayo unasema imekuwa ukiwa bila watu wala nyama, na kwamba imetolewa kwa Wakaldea.