Jeremiah 32:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sedekia atachukuliwa hadi Babuloni, naye atakaa huko mpaka nitakapomchukulia hatua. Hata kama Sedekia atapigana na Wakaldayo, hatashinda.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atamchukua Sedekia hadi Babeli, mahali atakapoishi hadi nitakapomshughulikia, asema Mwenyezi Mungu. Kama utapigana dhidi ya Wakaldayo, hutashinda.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye atamchukua Sedekia mpaka Babeli, naye atakuwako huko hata nitakapomjilia, asema Bwana; mjapopigana na Wakaldayo hamtafanikiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sedekia atachukuliwa hadi Babuloni, naye atakaa huko mpaka nitakapomchukulia hatua. Hata kama Sedekia atapigana na Wakaldayo, hatashinda.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atamchukua Sedekia hadi Babeli, mahali atakapoishi mpaka nitakapomshughulikia, asema BWANA. Kama utapigana dhidi ya Wakaldayo, hutashinda.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atamchukua Sedekia hadi Babeli, mahali atakapoishi mpaka nitakapomshughulikia, asema bwana. Kama utapigana dhidi ya Wakaldayo, hutashinda.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye atamchukua Sedekia mpaka Babeli, naye atakuwako huko hadi nitakapomjia, asema BWANA; mjapopigana na Wakaldayo hamtafanikiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sedekia atachukuliwa hadi Babuloni, naye atakaa huko mpaka nitakapomchukulia hatua. Hata kama Sedekia atapigana na Wakaldayo, hatashinda.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atampeleka Sedekia Babeli; ndiko, atakakokuwa, mpaka nitakapomkagua; ndivyo, asemavyo Bwana: Mtakapopigana na Wakasidi hamtafanikiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye atamchukua Sedekia mpaka Babeli, naye atakuwako huko hata nitakapomjilia, asema BWANA; mjapopigana na Wakaldayo hamtafanikiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zedekia atapelekwa mpaka Babeli, naye atakaa huko mpaka nitakapomushugulikia. –Ni ujumbe wa Yawe.– Kama mukipigana na Wakaldea, hamutawashinda.