Jeremiah 32:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeremia akasema, Mwenyezi-Mungu alinena nami akasema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeremia akasema, “Neno la Mwenyezi Mungu lilinijia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeremia akasema, Neno la Bwana limenijia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeremia akasema, Mwenyezi-Mungu alinena nami akasema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeremia akasema, “Neno la BWANA lilinijia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeremia akasema, “Neno la bwana lilinijia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeremia akasema, Neno la BWANA limenijia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeremia akasema, Mwenyezi-Mungu alinena nami akasema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeremia akasema: Neno la Bwana limenijia kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeremia akasema, Neno la BWANA limenijia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia akasema: Neno la Yawe lilinifikia kusema hivi: