Jeremiah 32:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hanameli, mwana wa baba yako mdogo Shalumu, atakujia na kusema: ‘Nunua shamba langu lililoko Anathothi, maana wewe ni ndugu yangu kabisa, na unayo haki ya kulikomboa.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hanameli mwana wa Shalumu mjomba wako atakuja kwako na kusema, ‘Nunua shamba langu huko Anathothi, kwa sababu wewe kama jamaa ya karibu ni haki na wajibu wako kulikomboa.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Hanameli, mwana wa Shalumu, mjomba wako, atakujia, akisema, Jinunulie shamba langu lililoko Anathothi; maana haki ya ukombozi ni yako, ulinunue.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hanameli, mwana wa baba yako mdogo Shalumu, atakujia na kusema: ‘Nunua shamba langu lililoko Anathothi, maana wewe ni ndugu yangu kabisa, na unayo haki ya kulikomboa.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hanameli mwana wa Shalumu mwana wa ndugu wa baba yako atakuja kwako na kusema, ‘Nunua shamba langu huko Anathothi, kwa sababu wewe kama jamaa ya karibu ni haki na wajibu wako kulinunua.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hanameli mwana wa Shalumu mjomba wako atakuja kwako na kusema, ‘Nunua shamba langu huko Anathothi, kwa sababu wewe kama jamaa ya karibu ni haki na wajibu wako kulinunua.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, Hanameli, mwana wa Shalumu, mjomba wako, atakujia, akisema, Jinunulie shamba langu lililoko Anathothi; maana haki ya ukombozi ni yako, ulinunue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hanameli, mwana wa baba yako mdogo Shalumu, atakujia na kusema: ‘Nunua shamba langu lililoko Anathothi, maana wewe ni ndugu yangu kabisa, na unayo haki ya kulikomboa.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utamwona Hanameli, mwana wa mjomba wako Salumu, akija kwako kukuambia: Jinunulie shamba langu lililoko Anatoti! Kwani wewe unapaswa na kulikomboa, liwe lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, Hanameli, mwana wa Shalumu, mjomba wako, atakujia, akisema, Jinunulie shamba langu lililoko Anathothi; maana haki ya ukombozi ni yako, ulinunue.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hanameli mwana wa baba yako mudogo Salumu atakuja kwako na kusema: Nunua shamba langu linalokuwa kule Anatoti, maana wewe ni ndugu yangu kabisa, nawe uko na haki ya kulikomboa.