Jeremiah 33:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia mara nyingine, wakati alipokuwa bado amefungwa katika ukumbi wa walinzi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeremia alipokuwa angali amefungwa kwenye ua wa walinzi, neno la Mwenyezi Mungu lilimjia mara ya pili kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, neno la Bwana likamjia Yeremia mara ya pili, hapo alipokuwa akali amefungwa katika uwanda wa walinzi, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia mara nyingine, wakati alipokuwa bado amefungwa katika ukumbi wa walinzi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Yeremia alipokuwa angali amefungwa kwenye ua wa walinzi, neno la BWANA lilimjia mara ya pili kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Yeremia alipokuwa angali amefungwa kwenye ua wa walinzi, neno la bwana lilimjia mara ya pili kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, neno la BWANA likamjia Yeremia mara ya pili, hapo alipokuwa angali amefungwa katika uwanja wa walinzi, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia mara nyingine, wakati alipokuwa bado amefungwa katika ukumbi wa walinzi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likamjia Yeremia mara ya pili, alipokuwa amefungwa bado uani penye kifungo, la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, neno la BWANA likamjia Yeremia mara ya pili, hapo alipokuwa akali amefungwa katika uwanda wa walinzi, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno la Yawe lilimufikia Yeremia mara ingine, wakati alipokuwa angali amefungwa katika baraza la walinzi, kusema hivi: