Jeremiah 33:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vivyo hivyo hamwezi kutangua agano langu nililofanya na mtumishi wangu Daudi. Nilifanya agano na Daudi kwamba daima atakuwa na mzawa wa kutawala mahali pake; vilevile kutakuwako daima makuhani wa ukoo wa Lawi watakaonitumikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi agano langu na Daudi mtumishi wangu, na agano langu na Walawi ambao ni makuhani wanaohudumu mbele zangu, linaweza kuvunjwa, na Daudi hatakuwa tena na mzao wa kutawala kwenye kiti chake cha utawala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo agano langu nililolifanya na Daudi, mtumishi wangu, laweza kuvunjika, hata asiwe na mwana wa kumiliki katika kiti chake cha enzi; tena agano langu nililofanya na Walawi makuhani, wahudumu wangu, laweza kuvunjika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vivyo hivyo hamwezi kutangua agano langu nililofanya na mtumishi wangu Daudi. Nilifanya agano na Daudi kwamba daima atakuwa na mzawa wa kutawala mahali pake; vilevile kutakuwako daima makuhani wa ukoo wa Lawi watakaonitumikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi Agano langu na Daudi mtumishi wangu na Agano langu na Walawi ambao ni makuhani wanaohudumu mbele zangu, linaweza kuvunjwa na Daudi hatakuwa tena na mzao wa kutawala katika kiti chake cha enzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi agano langu na Daudi mtumishi wangu, na agano langu na Walawi ambao ni makuhani wanaohudumu mbele zangu, linaweza kuvunjwa, na Daudi hatakuwa tena na mzao wa kutawala katika kiti chake cha enzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo agano langu nililolifanya na Daudi, mtumishi wangu, laweza kuvunjika, hata asiwe na mwana wa kumiliki katika kiti chake cha enzi; tena agano langu nililofanya na Walawi makuhani, wahudumu wangu, laweza kuvunjika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vivyo hivyo hamwezi kutangua agano langu nililofanya na mtumishi wangu Daudi. Nilifanya agano na Daudi kwamba daima atakuwa na mzawa wa kutawala mahali pake; vilevile kutakuwako daima makuhani wa ukoo wa Lawi watakaonitumikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilevile agano langu, nililoliagana na mtumishi wangu Dawidi, halitawezekana kuvunjwa asiwe na mwanawe atakayetawala na kukaa katika kiti chake cha kifalme, wala wasipatikane Walawi walio watambikaji wa kunitumikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo agano langu nililolifanya na Daudi, mtumishi wangu, laweza kuvunjika, hata asiwe na mwana wa kumiliki katika kiti chake cha enzi; tena agano langu nililofanya na Walawi makuhani, wahudumu wangu, laweza kuvunjika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ndivyo itakuwa kwa agano nililofanya na mutumishi wangu Daudi. Nilifanya agano na Daudi kwamba atakuwa na mumoja wa uzao wake wa kutawala pahali pake siku zote; vilevile kutakuwa makuhani wa ukoo wa Lawi watakaonitumikia siku zote.