Jeremiah 33:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, hujasikia wasemayo watu hawa, kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nimewatupilia mbali watu wa Israeli na watu wa Yuda, jamaa mbili nilizoziteua? Wamewadharau watu wangu, hata kuwaona kwamba wao si taifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, hujasikia kwamba watu hawa wanasema, ‘Mwenyezi Mungu amezikataa zile falme mbili alizozichagua’? Kwa hiyo wamewadharau watu wangu, na hawawaoni tena kama taifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Hufikiri neno hili walilolisema watu hawa, wakinena, Jamaa zile mbili alizozichagua Bwana amezitupilia mbali? Hivyo ndivyo wanavyowadharau watu wangu, ili wasiwe taifa tena mbele yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, hujasikia wasemayo watu hawa, kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nimewatupilia mbali watu wa Israeli na watu wa Yuda, jamaa mbili nilizoziteua? Wamewadharau watu wangu, hata kuwaona kwamba wao si taifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, hujasikia kwamba watu hawa wanasema, ‘BWANA amezikataa zile falme mbili alizozichagua?’ Kwa hiyo wamewadharau watu wangu na hawawaoni tena kama taifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, hujasikia kwamba watu hawa wanasema, ‘ bwana amezikataa zile falme mbili alizozichagua?’ Kwa hiyo wamewadharau watu wangu, na hawawaoni tena kama taifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Hufikiri neno hili walilolisema watu hawa, wakinena, Jamaa zile mbili alizozichagua BWANA amezitupilia mbali? Hivyo ndivyo wanavyowadharau watu wangu, ili wasiwe taifa tena mbele yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, hujasikia wasemayo watu hawa, kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nimewatupilia mbali watu wa Israeli na watu wa Yuda, jamaa mbili nilizoziteua? Wamewadharau watu wangu, hata kuwaona kwamba wao si taifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hukusikia, watu hawa wa huku wanavyosema kwamba: Koo mbili, Bwana alizozichagua, amezitupa? Kwa hiyo huwabeza walio ukoo wangu, wasiwe taifa tena machoni pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Hufikiri neno hili walilolisema watu hawa, wakinena, Jamaa zile mbili alizozichagua BWANA amezitupilia mbali? Hivyo ndivyo wanavyowadharau watu wangu, ili wasiwe taifa tena mbele yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haujasikia namna watu hawa wanavyosema, kwamba mimi Yawe nimewatupilia mbali watu wa Israeli na watu wa Yuda, jamaa mbili nilizochagua? Wamewazarau watu wangu, hata kuwaona kwamba wao si taifa.