Jeremiah 33:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawastawisha tena watu wa Yuda na watu wa Israeli; nitawaimarisha kama walivyokuwa hapo awali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawarudisha Yuda na Israeli kutoka uhamishoni, na kuwajenga tena kama walivyokuwa hapo awali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawarudisha wafungwa wa Yuda, na wafungwa wa Israeli, na kuwajenga kama kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawastawisha tena watu wa Yuda na watu wa Israeli; nitawaimarisha kama walivyokuwa hapo awali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawarudisha Yuda na Israeli kutoka katika nchi ya kutekwa kwao na kuwajenga tena kama walivyokuwa hapo awali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawarudisha Yuda na Israeli kutoka nchi ya kutekwa kwao, na kuwajenga tena kama walivyokuwa hapo awali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawarudisha wafungwa wa Yuda, na wafungwa wa Israeli, na kuwajenga kama kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawastawisha tena watu wa Yuda na watu wa Israeli; nitawaimarisha kama walivyokuwa hapo awali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitayafungua mafungo ya Wayuda na mafungo ya Waisiraeli, nitawajenga, wawe, kama walivyokuwa mwanzo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawarudisha wafungwa wa Yuda, na wafungwa wa Israeli, na kuwajenga kama kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawastawisha tena Wayuda na watu wa Israeli; nitawaimarisha kama walivyokuwa hapo zamani.