Jeremiah 34:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waliovunja agano langu na kukataa kufuata masharti ya agano walilofanya mbele yangu, nitawafanya kama yule ndama waliyemkata sehemu mbili na kupita katikati yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu waliovunja agano langu, na ambao hawakutunza masharti ya agano walilofanya mbele zangu, nitawafanya kama ndama waliyemkata vipande viwili, kisha wakatembea kati ya vile vipande vya huyo ndama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu hao waliolivunja agano langu, wasioyatimiza maneno ya agano lile, walilolifanya mbele zangu, wakati ule walipomkata ndama vipande viwili, wakapita katikati ya vipande vile;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waliovunja agano langu na kukataa kufuata masharti ya agano walilofanya mbele yangu, nitawafanya kama yule ndama waliyemkata sehemu mbili na kupita katikati yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu waliovunja Agano langu na ambao hawakutunza masharti ya Agano walilofanya mbele zangu, nitawafanya kama ndama waliyemkata vipande viwili kisha kutembea kati ya vile vipande vya huyo ndama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu waliovunja agano langu, na ambao hawakutunza masharti ya agano walilofanya mbele zangu, nitawafanya kama ndama waliyemkata vipande viwili, kisha wakatembea kati ya vile vipande vya huyo ndama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu hao waliolivunja agano langu, wasioyatimiza maneno ya agano lile, walilolifanya mbele zangu, wakati ule walipomkata ndama vipande viwili, wakapita katikati ya vipande vile;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waliovunja agano langu na kukataa kufuata masharti ya agano walilofanya mbele yangu, nitawafanya kama yule ndama waliyemkata sehemu mbili na kupita katikati yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waume waliolivunja agano wasipoyatimiza maneno ya hilo agano, walilolifanya usoni pangu, nitawatoa kuwa kama ndama ya tambiko, waliyoikata vipande viwili, kisha huipitia katikati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu hao waliolivunja agano langu, wasioyatimiza maneno ya agano lile, walilolifanya mbele zangu, wakati ule walipomkata ndama vipande viwili, wakapita katikati ya vipande vile;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waliovunja agano langu na kukataa kufuata masharti ya agano walilofanya mbele yangu, nitawafanya kama yule mwana-ngombe waliyemukata sehemu mbili na kupita katikati ya vipande vile.