Jeremiah 34:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, ewe Sedekia, mfalme wa Yuda, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu yako: Wewe hutauawa kwa upanga vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Lakini sikia ahadi ya Mwenyezi Mungu, ee Sedekia mfalme wa Yuda. Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu kuhusu wewe: Hutakufa kwa upanga,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata hivyo lisikie neno la Bwana, Ee Sedekia, mfalme wa Yuda; Bwana asema hivi katika habari zako; hutakufa kwa upanga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, ewe Sedekia, mfalme wa Yuda, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu yako: Wewe hutauawa kwa upanga vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Lakini sikia ahadi ya BWANA, Ee Sedekia mfalme wa Yuda. Hili ndilo asemalo BWANA kukuhusu: Hutakufa kwa upanga,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Lakini sikia ahadi ya bwana, ee Sedekia mfalme wa Yuda. Hili ndilo asemalo bwana kukuhusu: Hutakufa kwa upanga,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata hivyo lisikie neno la BWANA, Ee Sedekia, mfalme wa Yuda; BWANA asema hivi kukuhusu; hutakufa kwa upanga;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, ewe Sedekia, mfalme wa Yuda, mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu yako: Wewe hutauawa kwa upanga vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lisikie tu neno lake Bwana, wewe Sedekia, mfalme wa Yuda! Haya ndiyo, Bwana anayokuambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata hivyo lisikie neno la BWANA, Ee Sedekia, mfalme wa Yuda; BWANA asema hivi katika habari zako; hutakufa kwa upanga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, ewe Zedekia, mufalme wa Yuda, sikia ujumbe wa Yawe. Yawe anasema hivi juu yako: Wewe hautauawa kwa upanga katika vita.