Jeremiah 34:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakati jeshi la mfalme wa Babuloni lilipokuwa linaushambulia mji wa Yerusalemu na pia miji ya Lakishi na Azeka, ambayo ilikuwa miji pekee iliyosalia yenye ngome.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati jeshi la mfalme wa Babeli lilipokuwa likipigana dhidi ya Yerusalemu na miji mingine ya Yuda iliyokuwa bado imara, yaani Lakishi na Azeka. Hii ilikuwa miji pekee yenye ngome iliyobaki katika Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakati ule jeshi la Babeli walipopigana na Yerusalemu na miji yote ya Yuda iliyosalia, na Lakishi, na Azeka; kwa maana miji hiyo tu ndiyo iliyosalia katika miji ya Yuda yenye maboma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakati jeshi la mfalme wa Babuloni lilipokuwa linaushambulia mji wa Yerusalemu na pia miji ya Lakishi na Azeka, ambayo ilikuwa miji pekee iliyosalia yenye ngome.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati jeshi la mfalme wa Babeli lilipokuwa likipigana dhidi ya Yerusalemu na miji mingine ya Yuda ambayo bado ilikuwa imara yaani Lakishi na Azeka. Hii ilikuwa ndiyo miji pekee yenye ngome iliyobaki katika Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati jeshi la mfalme wa Babeli lilipokuwa likipigana dhidi ya Yerusalemu na miji mingine ya Yuda ambayo bado ilikuwa imara, yaani Lakishi na Azeka. Hii ilikuwa miji pekee yenye ngome iliyobaki katika Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakati ule jeshi la Babeli walipopigana na Yerusalemu na miji yote ya Yuda iliyosalia, na Lakishi, na Azeka; kwa maana miji hiyo tu ndiyo iliyosalia katika miji ya Yuda yenye maboma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakati jeshi la mfalme wa Babuloni lilipokuwa linaushambulia mji wa Yerusalemu na pia miji ya Lakishi na Azeka, ambayo ilikuwa miji pekee iliyosalia yenye ngome.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vikosi vya mfalme wa Babeli walipoupigia Yerusalemu vita, wauteke pamoja na miji yote ya Yuda iliyosalia, ndiyo Lakisi na Azeka; kwani hiyo ndiyo iliyosalia katika miji ya Yuda iliyokuwa yenye maboma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakati ule jeshi la Babeli walipopigana na Yerusalemu na miji yote ya Yuda iliyosalia, na Lakishi, na Azeka; kwa maana miji hiyo tu ndiyo iliyosalia katika miji ya Yuda yenye maboma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakati waaskari wa mufalme wa Babeli walipokuwa wanaushambulia Yerusalema na vilevile miji ya Lakisi na Azeka, ambayo ilikuwa miji pekee iliyobaki ikizungukwa na kuta.