Jeremiah 34:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu baada ya mfalme Sedekia kufanya agano na watu wote wa Yerusalemu kuwaachia huru
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi Mungu, baada ya Mfalme Sedekia kufanya agano na watu wote huko Yerusalemu ili kutangaza uhuru kwa watumwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa Bwana, baada ya wakati ule mfalme Sedekia alipofanya agano na watu wote waliokuwa katika Yerusalemu, kuwatangazia habari ya uhuru;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu baada ya mfalme Sedekia kufanya agano na watu wote wa Yerusalemu kuwaachia huru
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa BWANA baada ya Mfalme Sedekia kufanya agano na watu wote huko Yerusalemu kutangaza uhuru kwa watumwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa bwana, baada ya Mfalme Sedekia kufanya agano na watu wote huko Yerusalemu ili kutangaza uhuru kwa watumwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, baada ya wakati ule mfalme Sedekia alipofanya agano na watu wote waliokuwa katika Yerusalemu, kuwatangazia habari za uhuru;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu baada ya mfalme Sedekia kufanya agano na watu wote wa Yerusalemu kuwaachia huru
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia likitoka kwa Bwana hapo, mfalme Sedekia alipokwisha kuagana na watu wote waliokuwamo Yerusalemu kuwatangazia watumwa ukombozi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, baada ya wakati ule mfalme Sedekia alipofanya agano na watu wote waliokuwa katika Yerusalemu, kuwatangazia habari ya uhuru;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huu ndio ujumbe uliotolewa kwa Yeremia kutoka kwa Yawe kisha mufalme Zedekia kufanya agano na watu wote wa Yerusalema kuwaachilia huru