Jeremiah 35:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia wakati wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi Mungu, wakati wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa Bwana, katika siku za Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia wakati wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa BWANA wakati wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa bwana, wakati wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, katika siku za Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia wakati wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia likitoka kwa Bwana siku za Yoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, katika siku za Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamutolea Yeremia ujumbe huu wakati wa utawala wa Yoyakimu mwana wa Yosia, mufalme wa Yuda: