Jeremiah 35:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nikamchukua Yaazania mwana wa Yeremia, mwana wa Habazinia, na ndugu zake pamoja na wanawe wote na ukoo wote wa Warekabu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi nikaenda kumwita Yaazania mwana wa Yeremia, mwana wa Habazinia, na ndugu zake na wanawe wote, yaani jamaa nzima ya Warekabi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nikamtwaa Yaazania, mwana wa Yeremia, mwana wa Habasinia, na ndugu zake, na wanawe wote, na nyumba yote ya Warekabi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nikamchukua Yaazania mwana wa Yeremia, mwana wa Habazinia, na ndugu zake pamoja na wanawe wote na ukoo wote wa Warekabu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi nikaenda kumwita Yaazania mwana wa Yeremia, mwana wa Habazinia, ndugu zake na wanawe wote, yaani jamaa nzima ya Warekabi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi nikaenda kumwita Yaazania mwana wa Yeremia, mwana wa Habazinia, na ndugu zake na wanawe wote, yaani jamaa nzima ya Warekabi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nikamtwaa Yaazania, mwana wa Yeremia, mwana wa Habasinia, na ndugu zake, na wanawe wote, na nyumba yote ya Warekabi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nikamchukua Yaazania mwana wa Yeremia, mwana wa Habazinia, na ndugu zake pamoja na wanawe wote na ukoo wote wa Warekabu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikamchukua Yazania, mwana wa Yeremia, mwana wa Habasinia, pamoja na ndugu zake na wanawe wote nao wote walio wa mlango wa Warekabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nikamtwaa Yaazania, mwana wa Yeremia, mwana wa Habasinia, na ndugu zake, na wanawe wote, na nyumba yote ya Warekabi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikamutwaa Yazania mwana wa Yeremia mujukuu wa Habazinia na wandugu zake pamoja na wanawake wote na ukoo wote wa Warekabu,