Jeremiah 35:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nikawaleta kwenye nyumba ya Mwenyezi-Mungu, katika chumba cha wana wa Hanani mwana wa Igdalia, mtu wa Mungu. Chumba hicho kilikuwa karibu na ukumbi wa wakuu, juu ya ukumbi wa Maaseya mwana wa Shalumu, mlinzi wa ukumbi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikawaleta katika nyumba ya Mwenyezi Mungu, ndani ya chumba cha wana wa Hanani mwana wa Igdalia mtu wa Mungu. Kilikuwa karibu na chumba cha maafisa, kilichokuwa juu ya kile cha Maaseya mwana wa Shalumu, aliyekuwa bawabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nikawaleta ndani ya nyumba ya Bwana, ndani ya chumba cha wana wa Hanani, mwana wa Igdalia, mtu wa Mungu, kilichokuwa karibu na chumba cha wakuu, nacho kilikuwa juu ya chumba cha Maaseya, mwana wa Shalumu, bawabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nikawaleta kwenye nyumba ya Mwenyezi-Mungu, katika chumba cha wana wa Hanani mwana wa Igdalia, mtu wa Mungu. Chumba hicho kilikuwa karibu na ukumbi wa wakuu, juu ya ukumbi wa Maaseya mwana wa Shalumu, mlinzi wa ukumbi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikawaleta katika nyumba ya BWANA, ndani ya chumba cha wana wa Hanani mwana wa Igdalia mtu wa Mungu. Kilikuwa karibu na chumba cha maafisa, ambacho kilikuwa juu ya kile cha Maaseya mwana wa Shalumu aliyekuwa bawabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikawaleta katika nyumba ya bwana, ndani ya chumba cha wana wa Hanani mwana wa Igdalia mtu wa Mungu. Kilikuwa karibu na chumba cha maafisa, ambacho kilikuwa juu ya kile cha Maaseya mwana wa Shalumu, aliyekuwa bawabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nikawaleta ndani ya nyumba ya BWANA, ndani ya chumba cha wana wa Hanani, mwana wa Igdalia, mtu wa Mungu, kilichokuwa karibu na chumba cha wakuu, nacho kilikuwa juu ya chumba cha Maaseya, mwana wa Shalumu, bawabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nikawaleta kwenye nyumba ya Mwenyezi-Mungu, katika chumba cha wana wa Hanani mwana wa Igdalia, mtu wa Mungu. Chumba hicho kilikuwa karibu na ukumbi wa wakuu, juu ya ukumbi wa Maaseya mwana wa Shalumu, mlinzi wa ukumbi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawapeleka Nyumbani mwa Bwana katika ukumbi wa wana wa Hanani, mwana wa Igidalia, aliyekuwa mtu wa Mungu. Nao ukumbi huo ulikuwa kando ya ukumbi wa wakuu uliokuwa juu ya ukumbi wa Masea, mwana wa Salumu, aliyekuwa mlinda kizingiti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nikawaleta ndani ya nyumba ya BWANA, ndani ya chumba cha wana wa Hanani, mwana wa Igdalia, mtu wa Mungu, kilichokuwa karibu na chumba cha wakuu, nacho kilikuwa juu ya chumba cha Maaseya, mwana wa Shalumu, bawabu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nikawaleta kwenye nyumba ya Yawe, katika chumba cha wana wa mutu wa Mungu Hanani mwana wa Igidalia. Chumba hicho kilikuwa karibu na chumba cha wakubwa juu ya chumba cha mulinzi wa mulango Maseya mwana wa Salumu.