Jeremiah 35:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisi tumeitii daima amri hiyo ya mzee wetu Yonadabu mwana wa Rekabu, kuhusu jambo alilotuamuru. Sisi hatunywi kamwe divai; sisi wenyewe hatunywi, wala wake zetu, wala watoto wetu wa kiume au wa kike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumetii kila kitu ambacho baba yetu Yonadabu mwana wa Rekabu alituamuru. Sisi wenyewe, wake zetu, watoto wetu wa kiume na wa kike hatujawahi kunywa divai,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nasi tumeitii sauti ya Yonadabu, mwana wa Rekabu, baba yetu, katika yote aliyotuamuru, kwamba tusinywe divai siku zetu zote, sisi, na wake zetu, na wana wetu, na binti zetu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisi tumeitii daima amri hiyo ya mzee wetu Yonadabu mwana wa Rekabu, kuhusu jambo alilotuamuru. Sisi hatunywi kamwe divai; sisi wenyewe hatunywi, wala wake zetu, wala watoto wetu wa kiume au wa kike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumetii kila kitu ambacho baba yetu Yonadabu, mwana wa Rekabu, alichotuamuru. Sisi wenyewe wala wake zetu wala wana wetu na binti zetu kamwe hatujanywa divai
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumetii kila kitu ambacho baba yetu Yonadabu mwana wa Rekabu alituamuru. Sisi wenyewe wala wake zetu wala wana wetu na binti zetu kamwe hatujanywa divai
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nasi tumeitii sauti ya Yonadabu, mwana wa Rekabu, baba yetu, katika yote aliyotuamuru, kwamba tusinywe divai siku zetu zote, sisi, na wake zetu, na wana wetu, na binti zetu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisi tumeitii daima amri hiyo ya mzee wetu Yonadabu mwana wa Rekabu, kuhusu jambo alilotuamuru. Sisi hatunywi kamwe divai; sisi wenyewe hatunywi, wala wake zetu, wala watoto wetu wa kiume au wa kike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukaisikia sauti ya Yonadabu, mwana wa baba yetu Rekabu, katika mambo yote, aliyotuagiza, tusinywe mvinyo sisi wala wake zetu wala wana wetu wa kiume na wa kike:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nasi tumeitii sauti ya Yonadabu, mwana wa Rekabu, baba yetu, katika yote aliyotuamuru, kwamba tusinywe divai siku zetu zote, sisi, na wake zetu, na wana wetu, na binti zetu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi tumeitii amri hiyo ya babu yetu Yonadabu mwana wa Rekabu siku zote, juu ya jambo alilotuamuru. Sisi hatukunywi divai hata kidogo; sisi wenyewe hatukunywi, wala wake zetu, wala watoto wetu wanaume au wanawake.