Jeremiah 35:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisi hatujijengei nyumba za kuishi. Hatuna mashamba ya mizabibu wala mashamba ya kulima na kupanda mbegu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wala kujenga nyumba za kuishi au kuwa na mashamba ya mizabibu, mashamba au mazao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala tusijijengee nyumba za kukaa; wala hatuna shamba la mizabibu, wala konde, wala mbegu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisi hatujijengei nyumba za kuishi. Hatuna mashamba ya mizabibu wala mashamba ya kulima na kupanda mbegu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wala kujenga nyumba za kuishi au kuwa na mashamba ya mizabibu, mashamba au mazao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wala kujenga nyumba za kuishi au kuwa na mashamba ya mizabibu, mashamba au mazao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala tusijijengee nyumba za kukaa; wala hatuna shamba la mizabibu, wala shamba, wala mbegu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisi hatujijengei nyumba za kuishi. Hatuna mashamba ya mizabibu wala mashamba ya kulima na kupanda mbegu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hatujengi nyumba za kukaa humo, wala mizabibu wala mashamba wala mbegu hatunazo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala tusijijengee nyumba za kukaa; wala hatuna shamba la mizabibu, wala konde, wala mbegu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi hatujijengei nyumba za kuishi ndani yake. Hatuna mashamba ya mizabibu wala mashamba ya kulima na kupanda mbegu.