Jeremiah 36:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mikaia mwana wa Gemaria, mwana wa Shafani, aliposikia maneno yote ya Mwenyezi-Mungu ambayo yalisomwa kutoka kile kitabu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Mikaya mwana wa Gemaria, mwana wa Shafani, aliposikia maneno yote ya Mwenyezi Mungu kutoka kile kitabu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Mikaya, mwana wa Gemaria, mwana wa Shafani, aliposikia maneno yote ya Bwana yaliyokuwa katika chuo hicho,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mikaia mwana wa Gemaria, mwana wa Shafani, aliposikia maneno yote ya Mwenyezi-Mungu ambayo yalisomwa kutoka kile kitabu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Mikaya mwana wa Gemaria, mwana wa Shafani, aliposikia maneno yote ya BWANA kutoka kwenye kile kitabu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Mikaya mwana wa Gemaria, mwana wa Shafani, aliposikia maneno yote ya bwana kutoka kwenye kile kitabu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Mikaya, mwana wa Gemaria, mwana wa Shafani, aliposikia maneno yote ya BWANA yaliyokuwa katika kitabu hicho,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mikaia mwana wa Gemaria, mwana wa Shafani, aliposikia maneno yote ya Mwenyezi-Mungu ambayo yalisomwa kutoka kile kitabu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mikaya, mwana wa Gemaria, mwana wa Safani, akayasikia maneno yote ya Bwana, yaliposomwa mle kitabuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, Mikaya, mwana wa Gemaria, mwana wa Shafani, aliposikia maneno yote ya BWANA yaliyokuwa katika chuo hicho,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mikaya mwana wa Gemaria, mujukuu wa Safanu, aliposikia maneno yote ya Yawe ambayo yalisomwa kutoka kile kitabu,