Jeremiah 36:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mikaia aliwaambia maneno yote aliyoyasikia wakati Baruku aliposoma kitabu mbele ya umati wa watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Mikaya kuwaambia kila kitu ambacho alikuwa amesikia Baruku akiwasomea watu katika kile kitabu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Mikaya akawaeleza maneno yote aliyoyasikia, hapo Baruku alipokuwa akikisoma kitabu masikioni mwa watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mikaia aliwaambia maneno yote aliyoyasikia wakati Baruku aliposoma kitabu mbele ya umati wa watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Mikaya kuwaambia kila kitu ambacho alikuwa amesikia Baruki akiwasomea watu kutoka kwenye kile kitabu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Mikaya kuwaambia kila kitu ambacho alikuwa amesikia Baruku akiwasomea watu kutoka kwenye kile kitabu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Mikaya akawaeleza maneno yote aliyoyasikia, hapo Baruku alipokuwa akikisoma kitabu masikioni mwa watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mikaia aliwaambia maneno yote aliyoyasikia wakati Baruku aliposoma kitabu mbele ya umati wa watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, Mikaya akawasimulia hayo maneno yote, aliyoyasikia, Baruku aliyoyasoma mle kitabuni masikioni pao wa ukoo huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Mikaya akawaeleza maneno yote aliyoyasikia, hapo Baruku alipokuwa akikisoma kitabu masikioni mwa watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mikaya aliwaambia maneno yote aliyoyasikia wakati Baruku aliposoma kitabu mbele ya watu.