Jeremiah 36:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakamwambia: “Keti, uisome.” Baruku akawasomea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamwambia, “Tafadhali, keti na utusomee hicho kitabu.” Ndipo Baruku akawasomea kile kitabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakamwambia, Keti sasa, ukalisome masikioni mwetu. Basi, Baruku akalisoma masikioni mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakamwambia: “Keti, uisome.” Baruku akawasomea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwambia, “Tafadhali, keti na utusomee hicho kitabu.” Ndipo Baruki akawasomea kile kitabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamwambia, “Tafadhali, keti na utusomee hicho kitabu.” Ndipo Baruku akawasomea kile kitabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakamwambia, Keti sasa, ukalisome masikioni mwetu. Basi, Baruku akalisoma masikioni mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakamwambia: “Keti, uisome.” Baruku akawasomea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia: Kaa, ukisome napo masikioni petu! Baruku akakisoma masikioni pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakamwambia, Keti sasa, ukalisome masikioni mwetu. Basi, Baruku akalisoma masikioni mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakamwambia: Ikaa, ukisome. Baruku akawasomea.