Jeremiah 36:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliposikia maneno hayo yote, walitazamana kwa hofu. Wakamwambia Baruku, “Hatuna budi kumweleza mfalme maneno haya yote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipoyasikia maneno hayo yote, wakatazamana wao kwa wao kwa woga na kumwambia Baruku, “Lazima tutoe taarifa ya maneno haya yote kwa mfalme.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, walipoyasikia maneno hayo yote, wakatazamana kwa hofu, wakamwambia Baruku, Hatuna budi kumwambia mfalme maneno haya yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliposikia maneno hayo yote, walitazamana kwa hofu. Wakamwambia Baruku, “Hatuna budi kumweleza mfalme maneno haya yote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipoyasikia maneno haya yote, wakatazamana wao kwa wao kwa woga na kumwambia Baruki, “Ni lazima tutoe taarifa ya maneno haya yote kwa mfalme.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipoyasikia maneno hayo yote, wakatazamana wao kwa wao kwa woga na kumwambia Baruku, “Lazima tutoe taarifa ya maneno haya yote kwa mfalme.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, walipoyasikia maneno hayo yote, wakatazamana kwa hofu, wakamwambia Baruku, Hatuna budi kumwambia mfalme maneno haya yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliposikia maneno hayo yote, walitazamana kwa hofu. Wakamwambia Baruku, “Hatuna budi kumweleza mfalme maneno haya yote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoyasikia haya maneno yote, ndipo, walipostukiana kila mtu na mwenziwe, wakamwambia Baruku: Sharti tumjulishe mfalme maneno haya yote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, walipoyasikia maneno hayo yote, wakatazamana kwa hofu, wakamwambia Baruku, Hatuna budi kumwambia mfalme maneno haya yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliposikia maneno hayo yote, waliangaliana kwa hofu. Wakamwambia Baruku: Tunapaswa kumwelezea mufalme maneno haya yote.