Jeremiah 36:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wakamwuliza Baruku, “Hebu tuambie, umepataje kuandika maneno yote haya? Je, Yeremia alisema, nawe ukayaandika?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakamuuliza Baruku, “Tuambie, uliandikaje haya yote? Je, yalitoka kinywani mwa Yeremia?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwuliza Baruku, wakisema, Tuambie sasa; ulipataje kuyaandika maneno haya yote kinywani mwake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wakamwuliza Baruku, “Hebu tuambie, umepataje kuandika maneno yote haya? Je, Yeremia alisema, nawe ukayaandika?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakamwuliza Baruki, “Tuambie, uliandikaje haya yote? Je, yalitoka kinywani mwa Yeremia?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakamuuliza Baruku, “Tuambie, uliandikaje haya yote? Je, yalitoka kinywani mwa Yeremia?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwuliza Baruku, wakisema, Tuambie sasa; ulipataje kuyaandika maneno haya yote kutoka kinywani mwake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wakamwuliza Baruku, “Hebu tuambie, umepataje kuandika maneno yote haya? Je, Yeremia alisema, nawe ukayaandika?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia Baruku kwamba: Tusimulie, jinsi ulivyoyaandika maneno haya yote, kinywa chake kilipoyasema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwuliza Baruku, wakisema, Tuambie sasa; ulipataje kuyaandika maneno haya yote kinywani mwake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakamwuliza Baruku: Basi utuambie, umepata namna gani kuandika maneno haya yote? Yeremia alisema, nawe ukayaandika?