Jeremiah 36:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baruku akawajibu: “Yeye alisema, nami nikawa nayaandika kwa wino katika hati hii.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baruku akajibu, “Ndiyo, maneno haya yote yalitoka kinywani mwa Yeremia, nami nikayaandika kwa wino katika hiki kitabu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baruku akawajibu, Alinitamkia maneno haya yote kwa kinywa chake, nami nikayaandika kwa wino kitabuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baruku akawajibu: “Yeye alisema, nami nikawa nayaandika kwa wino katika hati hii.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baruki akajibu, “Ndiyo, maneno haya yote yalitoka kinywani mwa Yeremia, nami nikayaandika kwa wino katika hiki kitabu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baruku akajibu, “Ndiyo, maneno haya yote yalitoka kinywani mwa Yeremia, nami nikayaandika kwa wino katika hiki kitabu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baruku akawajibu, Alinitamkia maneno haya yote kwa kinywa chake, nami nikayaandika kwa wino kitabuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baruku akawajibu: “Yeye alisema, nami nikawa nayaandika kwa wino katika hati hii.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baruku akawaambia: Kwa kinywa chake akanisomea maneno haya yote, nami nikayaandika humu kitabuni kwa wino.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baruku akawajibu, Alinitamkia maneno haya yote kwa kinywa chake, nami nikayaandika kwa wino kitabuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baruku akawajibu: Yeye alisema, nami nikayaandika kwa wino katika kitabu hiki.