Jeremiah 36:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wakuu hao wakamwambia Baruku, “Wewe nenda ukajifiche pamoja na Yeremia, na pasiwe na mtu yeyote atakayejua mahali mlipo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wale maafisa wakamwambia Baruku, “Wewe na Yeremia nendeni mkajifiche. Mtu yeyote asijue mahali mlipo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo hao wakuu wakamwambia Baruku, Enenda ukajifiche, wewe na Yeremia, wala mtu asipajue mlipo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wakuu hao wakamwambia Baruku, “Wewe nenda ukajifiche pamoja na Yeremia, na pasiwe na mtu yeyote atakayejua mahali mlipo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wale maafisa wakamwambia Baruki, “Wewe na Yeremia nendeni mkajifiche. Mtu ye yote asijue mahali mlipo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wale maafisa wakamwambia Baruku, “Wewe na Yeremia nendeni mkajifiche. Mtu yeyote asijue mahali mlipo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo hao wakuu wakamwambia Baruku, Nenda ukajifiche, wewe na Yeremia, wala mtu asipajue mlipo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wakuu hao wakamwambia Baruku, “Wewe nenda ukajifiche pamoja na Yeremia, na pasiwe na mtu yeyote atakayejua mahali mlipo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakuu wakamwambia Baruku: Nenda kujificha wewe na Yeremia, mtu asijue, mliko ninyi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo hao wakuu wakamwambia Baruku, Enenda ukajifiche, wewe na Yeremia, wala mtu asipajue mlipo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakubwa hao wakamwambia Baruku: Wewe uende ujifiche pamoja na Yeremia, na kusikuwe mutu yeyote atakayejua pahali munapokuwa.