Jeremiah 36:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, ingawa mfalme na watumishi wake wote waliyasikia maneno hayo yote, hawakuogopa wala kuyararua mavazi yao kwa huzuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme na watumishi wake wote waliosikia yote yaliyosomwa hawakuonesha hofu yoyote, wala hawakuyararua mavazi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hawakuogopa, wala hawakurarua mavazi yao, wala mfalme, wala watumishi wake hata mmoja waliosikia maneno hayo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, ingawa mfalme na watumishi wake wote waliyasikia maneno hayo yote, hawakuogopa wala kuyararua mavazi yao kwa huzuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme na watumishi wake wote waliosikia yote yaliyosomwa hawakuonyesha hofu yo yote wala hawakuyararua mavazi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme na watumishi wake wote waliosikia yote yaliyosomwa hawakuonyesha hofu yoyote, wala hawakuyararua mavazi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hawakuogopa, wala hawakurarua mavazi yao, wala mfalme, wala watumishi wake hata mmoja waliosikia maneno hayo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, ingawa mfalme na watumishi wake wote waliyasikia maneno hayo yote, hawakuogopa wala kuyararua mavazi yao kwa huzuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawakustuka wala hawakuzirarua nguo zao, wala mfalme wala watumishi wake wote walioyasikia maneno hayo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hawakuogopa, wala hawakurarua mavazi yao, wala mfalme, wala watumishi wake hata mmoja waliosikia maneno hayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, ingawa mufalme na watumishi wake wote waliyasikia maneno hayo yote, hawakuogopa wala kurarua nguo zao kwa huzuni.