Jeremiah 36:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ijapokuwa Elnata, Delaya na Gemaria walimsihi mfalme asiichome hati hiyo, mfalme hakuwasikiliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata ingawa Elnathani, Delaya na Gemaria walimsihi mfalme asikichome kile kitabu, yeye hakuwasikiliza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata hivyo Elnathani, na Delaya, na Gemaria, walikuwa wamemsihi mfalme asiliteketeze gombo lile, lakini hakukubali kuwasikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ijapokuwa Elnata, Delaya na Gemaria walimsihi mfalme asiichome hati hiyo, mfalme hakuwasikiliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata ingawa Elnathani, Delaya na Gemaria walimsihi mfalme asikichome kile kitabu lakini hakuwasikiliza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata ingawa Elnathani, Delaya na Gemaria walimsihi mfalme asikichome kile kitabu, yeye hakuwasikiliza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata hivyo Elnathani, na Delaya, na Gemaria, walikuwa wamemsihi mfalme asiliteketeze gombo lile, lakini hakukubali kuwasikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ijapokuwa Elnata, Delaya na Gemaria walimsihi mfalme asiichome hati hiyo, mfalme hakuwasikiliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo hapo, Elnatani na Delaya na Gemaria walipomwomba mfalme sanasana, asikiteketeze hicho kitabu cha kuzingwa, hakuwasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata hivyo Elnathani, na Delaya, na Gemaria, walikuwa wamemsihi mfalme asiliteketeze gombo lile, lakini hakukubali kuwasikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ijapokuwa Elnatana, Delaya na Gemaria walimusihi mufalme asikichome kile kitabu, mufalme hakuwasikiliza.