Jeremiah 36:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya mfalme kuchoma moto hati ile ya maneno aliyoandika Baruku kwa maagizo ya Yeremia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya mfalme kuchoma kile kitabu kilichokuwa na yale maneno Baruku aliyokuwa ameyaandika kutoka kinywani mwa Yeremia, neno la Mwenyezi Mungu lilimjia Yeremia likisema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo neno la Bwana likamjia Yeremia, hapo mfalme alipokuwa amekwisha kuliteketeza gombo lile, na maneno yale aliyoyaandika Baruku, yaliyotoka katika kinywa cha Yeremia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya mfalme kuchoma moto hati ile ya maneno aliyoandika Baruku kwa maagizo ya Yeremia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya mfalme kuchoma kile kitabu kilichokuwa na yale maneno Baruki aliyokuwa ameyaandika kutoka kinywani mwa Yeremia, neno la BWANA lilimjia Yeremia likisema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya mfalme kuchoma kile kitabu kilichokuwa na yale maneno Baruku aliyokuwa ameyaandika kutoka kinywani mwa Yeremia, neno la bwana lilimjia Yeremia likisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia, hapo mfalme alipokuwa amekwisha kuliteketeza gombo lile, na maneno yale aliyoyaandika Baruku, yaliyotoka katika kinywa cha Yeremia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya mfalme kuchoma moto hati ile ya maneno aliyoandika Baruku kwa maagizo ya Yeremia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likamjia Yeremia, mfalme alipokwisha kukiteketeza kile kitabu cha kuzingwa na maneno yote, Baruku aliyoyaandika humo kwa kuambiwa na kinywa chake, likamwambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia, hapo mfalme alipokuwa amekwisha kuliteketeza gombo lile, na maneno yale aliyoyaandika Baruku, yaliyotoka katika kinywa cha Yeremia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme alipokwisha kuchoma kwa moto kile kitabu ambacho Baruku aliandika kwa maagizo ya Yeremia, neno la Yawe lilimufikia Yeremia kusema hivi: