Jeremiah 36:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Chukua hati nyingine ndefu, uandike maneno yote yaliyokuwa katika ile hati ya kwanza ambayo Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, ameichoma moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Chukua kitabu kingine na uandike juu yake maneno yote yaliyokuwa katika kile kitabu cha kwanza, ambacho Yehoyakimu mfalme wa Yuda amekiteketeza kwa moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya! Twaa wewe gombo lingine, ukaandike ndani yake maneno yote ya kwanza, yaliyokuwa katika gombo la kwanza, ambalo Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, ameliteketeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Chukua hati nyingine ndefu, uandike maneno yote yaliyokuwa katika ile hati ya kwanza ambayo Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, ameichoma moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Chukua kitabu kingine na uandike juu yake maneno yote yaliyokuwa katika kile kitabu cha kwanza, ambacho Yehoyakimu mfalme wa Yuda amekiteketeza kwa moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Chukua kitabu kingine na uandike juu yake maneno yote yaliyokuwa katika kile kitabu cha kwanza, ambacho Yehoyakimu mfalme wa Yuda amekiteketeza kwa moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya! Twaa wewe gombo lingine, ukaandike ndani yake maneno yote ya kwanza, yaliyokuwa katika gombo la kwanza, ambalo Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, ameliteketeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Chukua hati nyingine ndefu, uandike maneno yote yaliyokuwa katika ile hati ya kwanza ambayo Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, ameichoma moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jichukulie tena kitabu cha kuzingwa, ukiandike maneno hayo yote ya kwanza yaliyokuwamo katika kitabu kile cha kuzingwa cha kwanza, Yoyakimu, mfalme wa Yuda, alichokiteketeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya! Twaa wewe gombo lingine, ukaandike ndani yake maneno yote ya kwanza, yaliyokuwa katika gombo la kwanza, ambalo Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, ameliteketeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Twaa kitabu kingine, uandike maneno yote yaliyokuwa katika kile cha kwanza ambacho Yoyakimu, mufalme wa Yuda, amechoma kwa moto.