Jeremiah 36:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na huyo Yehoyakimu mfalme wa Yuda, wewe utamwambia kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Yeye ameichoma moto hati hiyo na kuuliza kwa nini Yeremia ameandika kwamba mfalme wa Babuloni atakuja kuiharibu nchi hii na kuwaangamiza watu na wanyama!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwambie pia Yehoyakimu mfalme wa Yuda, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Ulikiteketeza kile kitabu ukasema, “Kwa nini uliandika kwenye kitabu kwamba kwa hakika mfalme wa Babeli angekuja na kuangamiza nchi hii, na kuwakatilia mbali watu na wanyama kutoka humo?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika habari za Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, utasema, Bwana asema hivi, Umeliteketeza gombo hili, ukisema, Mbona umeandika ndani yake, ukisema, Bila shaka mfalme wa Babeli atakuja, na kuiharibu nchi hii, na kukomesha mwanadamu na mnyama pia ndani yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na huyo Yehoyakimu mfalme wa Yuda, wewe utamwambia kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: yeye ameichoma moto hati hiyo na kuuliza kwa nini Yeremia ameandika kwamba mfalme wa Babuloni atakuja kuiharibu nchi hii na kuwaangamiza watu na wanyama!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwambie pia Yehoyakimu mfalme wa Yuda, ‘Hili ndilo asemalo BWANA: Ulikiteketeza kile kitabu ukasema, “Kwa nini uliandika kwenye kitabu kwamba kwa hakika mfalme wa Babeli angekuja na kuangamiza nchi hii na kuwakatilia mbali watu na wanyama kutoka humo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwambie pia Yehoyakimu mfalme wa Yuda, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Ulikiteketeza kile kitabu ukasema, “Kwa nini uliandika kwenye kitabu kwamba kwa hakika mfalme wa Babeli angekuja na kuangamiza nchi hii, na kuwakatilia mbali watu na wanyama kutoka humo?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuhusu Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, utasema, BWANA asema hivi, Umeliteketeza gombo hili, ukisema, Mbona umeandika ndani yake, ukisema, Bila shaka mfalme wa Babeli atakuja, na kuiharibu nchi hii, na kukomesha mwanadamu na mnyama pia ndani yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na huyo Yehoyakimu mfalme wa Yuda, wewe utamwambia kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Yeye ameichoma moto hati hiyo na kuuliza kwa nini Yeremia ameandika kwamba mfalme wa Babuloni atakuja kuiharibu nchi hii na kuwaangamiza watu na wanyama!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwa ajili ya Yoyakimu, mfalme wa Yuda, utasema: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Wewe umekiteketeza kitabu hicho cha kuzingwa kwamba: Mbona umeandika humo kwamba: Mfalme wa Babeli atakuja kweli kuiharibu nchi hii na kukomesha huku watu na nyama?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika habari za Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, utasema, BWANA asema hivi, Umeliteketeza gombo hili, ukisema, Mbona umeandika ndani yake, ukisema, Bila shaka mfalme wa Babeli atakuja, na kuiharibu nchi hii, na kukomesha mwanadamu na mnyama pia ndani yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe utamwambia huyo Yoyakimu mufalme wa Yuda kwamba: Yawe anasema hivi: Umekichoma kwa moto kitabu hicho na kuuliza kwa nini Yeremia ameandika kwamba mufalme wa Babeli atakuja kuiharibu inchi hii na kuwaangamiza watu na nyama!