Jeremiah 36:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Labda watu wa Yuda watasikia juu ya maovu yote ambayo nimenuia kuwatendea, ili kila mmoja wao auache mwenendo wake mbaya, nami nipate kuwasamehe makosa yao na dhambi yao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Labda watu wa Yuda watakaposikia maafa ninayokusudia kuwapiga nayo, kila mmoja wao atageuka kutoka njia zake mbaya, kisha nitasamehe uovu wao na dhambi yao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huenda nyumba ya Yuda watasikia mabaya yote niliyokusudia kuwatenda; wapate kurudi, kila mtu akaiache njia yake mbaya; nami nikawasamehe uovu wao na dhambi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Labda watu wa Yuda watasikia juu ya maovu yote ambayo nimenuia kuwatendea, ili kila mmoja wao auache mwenendo wake mbaya, nami nipate kuwasamehe makosa yao na dhambi yao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Labda watu wa Yuda watakaposikia juu ya kila maafa ninayokusudia kuwapiga nayo kila mmoja wao atageuka kutoka katika njia zake mbaya, kisha nitasamehe uovu wao na dhambi yao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Labda watu wa Yuda watakaposikia juu ya kila maafa ninayokusudia kuwapiga nayo, kila mmoja wao atageuka kutoka njia zake mbaya, kisha nitasamehe uovu wao na dhambi yao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huenda nyumba ya Yuda watasikia mabaya yote niliyokusudia kuwatenda; wapate kurudi, kila mtu akaiache njia yake mbaya; nami nikawasamehe uovu wao na dhambi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Labda watu wa Yuda watasikia juu ya maovu yote ambayo nimenuia kuwatendea, ili kila mmoja wao auache mwenendo wake mbaya, nami nipate kuwasamehe makosa yao na dhambi yao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Labda watasikia walio wa mlango wa Yuda wakiambiwa mabaya yote, mimi ninayoyawaza kuwafanyizia, kusudi warudi kila mtu katika njia yake mbaya, nikiwaondolea manza zao na makosa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huenda nyumba ya Yuda watasikia mabaya yote niliyokusudia kuwatenda; wapate kurudi, kila mtu akaiache njia yake mbaya; nami nikawasamehe uovu wao na dhambi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Labda watu wa Yuda watasikia juu ya hasara zote ambazo nimekusudia kuwatendea, kusudi kila mumoja wao auache mwenendo wake mubaya, nami nipate kuwasamehe makosa yao na zambi yao.