Jeremiah 36:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nitamwadhibu yeye na wazawa wake pamoja na watumishi wake kwa sababu ya uovu wao. Nitawaletea wao na wakazi wote wa Yerusalemu pamoja na watu wote wa Yuda maafa yote niliyotamka dhidi yao na ambayo hawakuyajali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamwadhibu yeye, watoto wake na watumishi wake kwa ajili ya uovu wao. Nitaleta juu yao na wote wanaoishi Yerusalemu na watu wa Yuda kila maafa niliyoyasema dhidi yao, kwa sababu hawajasikiliza.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitamwadhibu yeye, na wazao wake, na watumishi wake, kwa sababu ya uovu wao, nami nitaleta juu yao, na juu ya wenyeji wa Yerusalemu, na juu ya watu wa Yuda, mabaya yote niliyoyatamka juu yao, lakini hawakukubali kusikiliza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nitamwadhibu yeye na wazawa wake pamoja na watumishi wake kwa sababu ya uovu wao. Nitawaletea wao na wakazi wote wa Yerusalemu pamoja na watu wote wa Yuda maafa yote niliyotamka dhidi yao na ambayo hawakuyajali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamwadhibu yeye, watoto wake na watumishi wake kwa ajili ya uovu wao, nitaleta juu yao na wote waishio Yerusalemu na watu wa Yuda kila maafa niliyoyasema dhidi yao, kwa sababu hawajasikiliza.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamwadhibu yeye, watoto wake na watumishi wake kwa ajili ya uovu wao. Nitaleta juu yao na wote waishio Yerusalemu na watu wa Yuda kila maafa niliyoyasema dhidi yao, kwa sababu hawajasikiliza.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitamwadhibu yeye, na wazao wake, na watumishi wake, kwa sababu ya uovu wao, nami nitaleta juu yao, na juu ya wenyeji wa Yerusalemu, na juu ya watu wa Yuda, mabaya yote niliyoyatamka juu yao, lakini hawakukubali kusikiliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nitamwadhibu yeye na wazawa wake pamoja na watumishi wake kwa sababu ya uovu wao. Nitawaletea wao na wakazi wote wa Yerusalemu pamoja na watu wote wa Yuda maafa yote niliyotamka dhidi yao na ambayo hawakuyajali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitampatilizia yeye na kizazi chake na watumishi wake manza zao, walizozikora, nikiwaletea wao nao wakaao Yerusalemu nao watu wa Yuda mabaya yote, niliyoyasema, ya kuwa nitawafanyizia, lakini hawakusikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitamwadhibu yeye, na wazao wake, na watumishi wake, kwa sababu ya uovu wao, nami nitaleta juu yao, na juu ya wenyeji wa Yerusalemu, na juu ya watu wa Yuda, mabaya yote niliyoyatamka juu yao, lakini hawakukubali kusikiliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nitamwazibu yeye na wazao wake pamoja na watumishi wake kwa sababu ya uovu wao. Nitawaletea wao na wakaaji wote wa Yerusalema pamoja na watu wote wa Yuda hasara yote niliyosema juu yao na ambayo hawakuijali.