Jeremiah 36:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Baruku mwana wa Neria, alitimiza yote aliyoamriwa na nabii Yeremia kuhusu kusoma maneno ya Mwenyezi-Mungu ndani ya nyumba yake Mwenyezi-Mungu kutoka katika kitabu hicho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baruku mwana wa Neria akafanya kila kitu nabii Yeremia alichomwambia kufanya. Alisoma maneno ya Mwenyezi Mungu katika Hekalu la Mwenyezi Mungu kutoka kile kitabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Baruku, mwana wa Neria, akafanya sawasawa na hayo yote, ambayo Yeremia, nabii, amemwagiza, akisoma katika chuo hicho, maneno ya Bwana, ndani ya nyumba ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Baruku mwana wa Neria, alitimiza yote aliyoamriwa na nabii Yeremia kuhusu kusoma maneno ya Mwenyezi-Mungu ndani ya nyumba yake Mwenyezi-Mungu kutoka katika kitabu hicho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baruki mwana wa Neria akafanya kila kitu nabii Yeremia alichomwambia kufanya, katika Hekalu la BWANA alisoma maneno ya BWANA kutoka katika kile kitabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baruku mwana wa Neria akafanya kila kitu nabii Yeremia alichomwambia kufanya. Alisoma maneno ya bwana katika Hekalu la bwana kutoka kile kitabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Baruku, mwana wa Neria, akafanya sawasawa na hayo yote, ambayo Yeremia, nabii, amemwagiza, kuyasoma katika kitabu hicho, maneno ya BWANA, ndani ya nyumba ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Baruku mwana wa Neria, alitimiza yote aliyoamriwa na nabii Yeremia kuhusu kusoma maneno ya Mwenyezi-Mungu ndani ya nyumba yake Mwenyezi-Mungu kutoka katika kitabu hicho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baruku, mwana wa Neria, akayafanya yote, kama mfumbuaji Yeremia alivyomwagiza, akayasoma mle kitabuni maneno ya Bwana Nyumbani mwake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, Baruku, mwana wa Neria, akafanya sawasawa na hayo yote, ambayo Yeremia, nabii, amemwagiza, akisoma katika chuo hicho, maneno ya BWANA, ndani ya nyumba ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Baruku mwana wa Neria alitimiza yote aliyoamuriwa na nabii Yeremia juu ya kusoma maneno ya Yawe ndani ya nyumba ya Yawe kutoka katika kitabu hicho.