Jeremiah 37:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jeshi la Wakaldayo lilipoondoka Yerusalemu kuliepa jeshi la Farao lililokuwa linakaribia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya jeshi la Wakaldayo kujiondoa kutoka Yerusalemu kwa sababu ya jeshi la Farao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ikawa, jeshi la Wakaldayo lilipokuwa limevunja kambi yao mbele ya Yerusalemu, kwa kuliogopa jeshi la Farao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jeshi la Wakaldayo lilipoondoka Yerusalemu kuliepa jeshi la Farao lililokuwa linakaribia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya jeshi la Wakaldayo kujiondoa kutoka Yerusalemu kwa sababu ya jeshi la Farao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya jeshi la Wakaldayo kujiondoa kutoka Yerusalemu kwa sababu ya jeshi la Farao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ikawa, jeshi la Wakaldayo lilipokuwa limevunja kambi yao mbele ya Yerusalemu, kwa kuliogopa jeshi la Farao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jeshi la Wakaldayo lilipoondoka Yerusalemu kuliepa jeshi la Farao lililokuwa linakaribia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, vikosi vya Wakasidi vilipoondoka Yerusalemu kwa kuvikimbia vikosi vya Farao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ikawa, jeshi la Wakaldayo lilipokuwa limevunja kambi yao mbele ya Yerusalemu, kwa kuliogopa jeshi la Farao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kundi la waaskari wa Wakaldea lilipoondoka Yerusalema kwa kulikimbia kundi la waaskari wa mufalme wa Misri lililokuwa linakaribia,