Jeremiah 37:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeremia aliondoka Yerusalemu kwenda nchi ya Benyamini ili kupokea sehemu ya urithi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeremia akaondoka mjini kwenda nchi ya Benyamini ili akapate huko sememu yake ya milki miongoni mwa watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo Yeremia akatoka Yerusalemu, ili aende mpaka nchi ya Benyamini, alipokee huko fungu lake kati ya watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeremia aliondoka Yerusalemu kwenda nchi ya Benyamini ili kupokea sehemu ya urithi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeremia akaanza kuondoka mjini ili kwenda kwenye nchi ya Benyamini ili akapate sehemu yake ya milki miongoni mwa watu huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeremia akaanza kuondoka mjini ili kwenda nchi ya Benyamini ili akapate sehemu yake ya milki miongoni mwa watu huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo Yeremia akatoka Yerusalemu, ili aende mpaka katika nchi ya Benyamini, alipokee huko fungu lake kati ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeremia aliondoka Yerusalemu kwenda nchi ya Benyamini ili kupokea sehemu ya urithi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, Yeremia naye alipotoka Yerusalemu kwenda katika nchi ya Benyamini, alichukue fungu lake lililoko kule kwa watu wa huko katikati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo Yeremia akatoka Yerusalemu, ili aende mpaka nchi ya Benyamini, alipokee huko fungu lake kati ya watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia aliondoka Yerusalema kwenda katika inchi ya Benjamina kwa kupokea sehemu ya urizi wake.