Jeremiah 37:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maofisa hao walimkasirikia sana Yeremia wakampiga, kisha wakamfunga gerezani katika nyumba ya katibu Yonathani iliyokuwa imegeuzwa kuwa gereza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamkasirikia Yeremia, wakaamuru apigwe, na akafungwa katika nyumba ya Yonathani mwandishi waliyokuwa wameifanya kuwa gereza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakuu wakamkasirikia Yeremia, wakampiga, wakamtia gerezani katika nyumba ya Yonathani, mwandishi; kwa maana ndiyo waliyoifanya kuwa gereza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maofisa hao walimkasirikia sana Yeremia wakampiga, kisha wakamfunga gerezani katika nyumba ya katibu Yonathani iliyokuwa imegeuzwa kuwa gereza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamkasirikia Yeremia, wakaruhusu apigwe na akafungwa katika nyumba ya Yonathani mwandishi waliyokuwa wameifanya gereza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamkasirikia Yeremia, wakaamuru apigwe, na akafungwa katika nyumba ya Yonathani mwandishi waliyokuwa wameifanya gereza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakuu wakamkasirikia Yeremia, wakampiga, wakamtia gerezani katika nyumba ya Yonathani, mwandishi; kwa maana ndiyo waliyoifanya kuwa gereza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maofisa hao walimkasirikia sana Yeremia wakampiga, kisha wakamfunga gerezani katika nyumba ya katibu Yonathani iliyokuwa imegeuzwa kuwa gereza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wakamtolea Yeremia ukali, wakampiga; kisha wakamtia kifungoni nyumbani mwa mwandishi Yonatani, kwani walikuwa wakiitumia kuwa nyumba ya kifungo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakuu wakamkasirikia Yeremia, wakampiga, wakamtia gerezani katika nyumba ya Yonathani, mwandishi; kwa maana ndiyo waliyoifanya kuwa gereza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa hao walimukasirikia sana Yeremia wakamupiga, kisha wakamufunga katika kifungo katika nyumba ya katibu Yonatani iliyokuwa imegeuzwa kuwa gereza.