Jeremiah 37:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeremia alipokuwa amefungwa gerezani kwa muda wa siku nyingi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeremia akawekwa kwenye chumba kilichofukuliwa chini, kilichojengwa kwa zege ndani ya gereza chini ya ngome, akakaa huko kwa muda mrefu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Yeremia alipokuwa ameingia katika nyumba ya shimo, na katika vyumba vya ndani; na Yeremia alipokuwa amekaa humo siku nyingi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeremia alipokuwa amefungwa gerezani kwa muda wa siku nyingi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeremia akawekwa kwenye chumba kilichofukuliwa chini kilichojengwa kwa zege ndani ya gereza chini ya ngome, akakaa huko kwa muda mrefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeremia akawekwa kwenye chumba kilichofukuliwa chini, kilichojengwa kwa zege ndani ya gereza chini ya ngome, akakaa huko kwa muda mrefu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Yeremia alipokuwa ameingia katika nyumba ya shimo, na katika vyumba vya ndani; na Yeremia alipokuwa amekaa humo siku nyingi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeremia alipokuwa amefungwa gerezani kwa muda wa siku nyingi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Yeremia alivyoingia katika ile nyumba yenye mashimo yaliyochimbuliwa upande wa ndani chini; ndimo, Yeremia alimokaa siku nyingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, Yeremia alipokuwa ameingia katika nyumba ya shimo, na katika vyumba vya ndani; na Yeremia alipokuwa amekaa humo siku nyingi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia alipokuwa amefungwa katika gereza kwa muda wa siku nyingi,