Jeremiah 37:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wako wapi manabii waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babuloni hatakushambulia wewe wala nchi hii?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wako wapi manabii wako waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babeli hatakushambulia wewe wala nchi hii’?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wako wapi sasa manabii wenu waliowatabiria, wakisema, Mfalme wa Babeli hatakuja juu yenu, wala juu ya nchi hii?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wako wapi manabii waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babuloni hatakushambulia wewe wala nchi hii?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wako wapi manabii wako waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babeli hatakushambulia wewe wala nchi hii?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wako wapi manabii wako waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babeli hatakushambulia wewe wala nchi hii?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wako wapi sasa manabii wenu waliowatabiria, wakisema, Mfalme wa Babeli hatakuja juu yenu, wala juu ya nchi hii?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wako wapi manabii waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babuloni hatakushambulia wewe wala nchi hii?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako wapi wafumbuaji wenu waliowafumbulia kwamba: Mfalme wa Babeli hatafika kwenu wala katika nchi hii?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wako wapi sasa manabii wenu waliowatabiria, wakisema, Mfalme wa Babeli hatakuja juu yenu, wala juu ya nchi hii?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wako wapi manabii waliokutabiria wakisema: Mufalme wa Babeli hatakushambulia wewe wala inchi hii?