Jeremiah 37:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Sedekia na maofisa wake pamoja na wananchi wa Yuda hawakusikiliza maonyo ya Mwenyezi-Mungu aliyotoa kwa njia ya nabii Yeremia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sio Sedekia, wala watumishi wake, wala watu wa nchi walisikiliza maneno ya Mwenyezi Mungu aliyonena kupitia kwa nabii Yeremia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yeye, wala watumishi wake, wala watu wa nchi, hawakuyasikiliza maneno ya Bwana aliyonena kwa kinywa cha nabii Yeremia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Sedekia na maofisa wake pamoja na wananchi wa Yuda hawakusikiliza maonyo ya Mwenyezi-Mungu aliyotoa kwa njia ya nabii Yeremia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini si Sedekia wala watumishi wake wala watu wa nchi waliosikiliza maneno ya BWANA aliyonena kupitia kwa nabii Yeremia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sio Sedekia, wala watumishi wake, wala watu wa nchi walisikiliza maneno ya bwana aliyonena kupitia kwa nabii Yeremia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yeye, wala watumishi wake, wala watu wa nchi, hawakuyasikiliza maneno ya BWANA aliyonena kwa kinywa cha nabii Yeremia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Sedekia na maofisa wake pamoja na wananchi wa Yuda hawakusikiliza maonyo ya Mwenyezi-Mungu aliyotoa kwa njia ya nabii Yeremia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye na watumishi wake na watu wa nchi yake hawakuyasikia maneno ya Bwana, aliyoyasema kwa kumtumia mfumbuaji Yeremia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yeye, wala watumishi wake, wala watu wa nchi, hawakuyasikiliza maneno ya BWANA aliyonena kwa kinywa cha nabii Yeremia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Zedekia na wakubwa wake pamoja na wanainchi wa Yuda hawakusikiliza maonyo Yawe aliyotoa kwa njia ya nabii Yeremia.