Jeremiah 37:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo neno la Mwenyezi-Mungu likamjia nabii Yeremia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likamjia nabii Yeremia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo neno la Bwana likamjia nabii Yeremia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo neno la Mwenyezi-Mungu likamjia nabii Yeremia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo neno la BWANA likamjia nabii Yeremia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo neno la bwana likamjia nabii Yeremia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo neno la BWANA likamjia nabii Yeremia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo neno la Mwenyezi-Mungu likamjia nabii Yeremia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likamjia mfumbuaji Yeremia kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo neno la BWANA likamjia nabii Yeremia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu neno la Yawe lilimufikia Yeremia kusema hivi: